Hii ndio show ya kwanza kwenye ziara ya mikoa kadha itakayotembelewa na
wasanii wa muziki wa bongo fleva na dance kupitia ziara ya kili 2014.
Show hii ya kwanza imefanyika moshi kwenye uwanja wa Ushirika Moshi
Kilimanjaro na kupata mashabiki wangi waliokuja kutazama show na
kuburudika. Wasanii walikuwa Mwana F A, Khadija koppa, Ben Pol, Weusi,
Kala Jeremiah, Jambo Squad, Profesa Jay, Ommy Dimpoz,Warriors from the
East, na Ney Wa Mitego.