Ernest Napoleon ni mwigizaji kutokea Tanzania ambaye uwezo wake tayari ameshauonyesha kwenye movie ya Going Bongo ambayo ilizihusisha nchi mbili ambazo ni Marekani na Tanzania, sasa hivi anajiandaa kufanya movie yake nyingine inaitwa X Baller na imebidi atafute mrembo wa kuigiza nae Dar es salaam, tazama hii video hapa chini..