Agnes Jerald / Masogange (Tanzania)Tunaweza
kusema huyu anaweza kuwa ndio vera sidika wa kibongo , japokua ni video
moja iliyomtoa ambayo ni video ya belle 9 iitwayo masogange..
Cynthia Masasi (Tanzania)Ni
Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.
Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani.
Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross
na wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross, Juelz
Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young Joc
Vera Sidika (Kenya)Nadhani
kila mtu atakua ameiona video ya you guy waliofanya P-UNIT , video
iliyokua na utata mkubwa hadi kusababisha kufungiwa huko nchini kenya na
mmoja wa model katika video hiyo ni Vera sidika.
Sharleen Chelangat (Kenya)Huyu
ni mwanafunzi kutoka Daystar University nchini Kenya. Video
iliyomtambulisha ni ya Give it to Me aliyoifanya MilitarySwaggTeam
akimshirikisha Kanja na Bigsoul.
Jack Cliff (Tanzania)Hakuna
mtu ambae hadi sasa hajawahi kuona video ya nataka kulewa ya diamond
platnumz, basi kama ulikua haujuwi jack cliff ndio alipamba video hii.
pia yupo kwenye video mpya la linex kimugina.
Risper Faith (Kenya)Huyu
naye ni video vixen mwingine anayekuja kwa kasi sana nchini kenya.
Anajulikana sana kwa jina la Lady Rispah na video yake latest kuwa
featured ni ya Octopizzo inayoitwa Nini. Hii ndio professional video
yake ya kwanza kutokea kwa mwanafunzi huyu wa Mount Kenya Unniveristy.