Ni furaha na hatua kubwa kwa msanii wa Tanzania kuona na kusikia kazi yake ikipewa nafasi kwenye vyombo vya habari kama radio na tv vya nje ya Africa mashariki kwani ubira wa hali ya juu wa kazi hizo ndio huchangia zaidi kazi hio kukubalika. Video ya wimbo wa Izzo Bizness – Tumoghele ft Hance Puff imeanza kuchezwa channel O.