Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa baada ya
basi la LUWULE walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Musoma kwenda Mwanza
kuacha njia kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha Itwimila
wilaya ya Busega.
Created with by OmTemplates | Distributed by GooyaabiTemplates