Pambani hili limefanyika kwenye ukumbi wa PTA ambapo bondia Francis
Miyeyusho amepigwa na bondia kutoa Thailand Sukkasem Kietyongyuth kwenye
raundi ya kwanza kwa knock out.
Bondia huyo wa Thailand amempiga Miyeyusho dakika ya kwanza na
sekunde 54 na kwenye hizo dakika alianguka mara kadhaa hadi refa anampa
ushindi mthailand huyo.