Kwa kawaida watu wengi wanao achilia video zao kwenye mitandao waki Twerk huwa wanapata sifa nzuri kuwa wanaweza kukata mauno.Ila imekuwa tofauti kwa mrembo Corazon Kwamboka ambapo walio iona video hii akikata mauno wameyowa comment za kumponda kuwa hawezi kucheza hasa ukilinganisha na umbo lake lenye mvuto.
Mtazame hapa na kuweka comment zako juu ya uchezaji wake.