Timu ya Azam bado inaendelea na usajili wake wa wachezaji ambapo baada
ya Didier Kavumbagu aliyekua akiichezea Yanga kupewa mkataba wa mwaka
mmoja, sasa wamemuongeza mchezaji mwingine kikosini Azam FC.Frank Domayo ndio kiungo mpya aliyesainiwa na Azam Fc kwa mkataba wa miaka miwili na kujiunga na mabingwa wapya wa Tanzania Bara