Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram
@ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob,
Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na wabongo kama
Mbunge Zitto Kabwe na wengine duniani kupinga ubaguzi wa mchezaji wa
Barcelona Dani Alves wa kutupiwa ndizi uwanjani.
Picha ya kina Salama imepigwa na Doreen Andrew wa XXL Clouds FM.