Doria ya farasi wa polisi wakikatisha katika Uwanja wa Uhuru leo kuhakikisha usalama.Magari mbalimbali kutoka idara tofauti serikalini yakiwa yamepaki katika Uwanja wa Uhuru.Hao ni askari wa paredi … Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Jeshi la wananchi…