Snura ni msanii aliyewahi kusema mafanikio ya muziki wake ni jitiada za kula siku anazo fanya na kama unakumbuka mwaka 2013, Majanga ilimpa nafasi kubwa kwenye masikio na macho ya watu.
Alifanya show nyingi zaidi na interview kwenye radio nyingi Tanzania.
Nimevurugwa ndio single iliyofata na kukutana na changamoto nyingi ikiwemo kufungiwa sababu ya matendo na uvaaji kwenye video hio.
https://www.hulkshare.com/sammisago/snura-ushaharibu