Shilole akizungumza na Clouds fm leo ameelezea kwa kuwa ana taaluma ya Hotel Management na pia mama yake alishawahi kuwa ‘mama ntilie’ kipindi cha nyuma na pia Shilole ameshawahi kufanya kazi Peacock Hotel, Florida, na kwa sasa kila kitu kinaenda sawa ni yeye tu mwenyewe wakati wowote anaweza akafungua.