Morning my people..hizi ndo my negative sides
(1) Nina wivu kupitiliza kwa mtu ambae nampenda ingawa sioneshi
(2) Nina kaukorofi nikiudhiwa
(3) Nina hasira sana
(4) Ni mtu ambae nikiamua langu nimeamua
(5) Mimi ni msiri mnooooo
(6) Ni mtu ambae ni mzito kusema shida yangu niko radhi nife nayo kimiya kimiya
(7) Ni mgumu kusamehe
(8) Mtu anaweza kunikosea na nikakaa kimiya nisimuulize na nisimuoneshe tofauti yoyote
(9) Ni mwepesi kuamini watu
(10) Ni mbishi kidogo
(11) Ni mtu ambae nafwata sana moyo wangu kuliko akili yangu
(12) Ni mtu ambae nikiamua langu lazima nilitimize
(13) Ni mtu ambae napenda sana kusema ukweli mwisho wa siku inaniongezea maadui
(14) Huwa sitabiliki naweza nikawa mpole pia naweza kuwa mkorofi
(15) Napenda kudekezwa
(16) Ni mtu wa kupuuzia vitu
(17) Muda mwingine najiamini kupitiliza
(18) Nikimpenda mtu namuonesha na nikimchukia mtu lazima ajue coz sijui kupretend
(19) Huwa sikubali kushindwa
(20) Nikiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu ambae nampenda huwa nasahau kabisaa marafiki
(21) ... ZINGINE NITAMALIZIA BAADAE ZIMEBAKI NEGATIVE SIDES ZANGU 30