Thursday, July 2, 2015

Wema: Nachukizwa na ‘Artwork’ Ambazo Sina Taarifa Nazo

0
Wema: Nachukizwa na ‘Artwork’ Ambazo Sina Taarifa NazoNachukizwa sana pale napoona mtu kaenda kutengeneza Artwork ambayo mimi binafsi sina taarifa nayo... Nimeona Artwork yenye picha yangu niliovaa bazee la njano ikisema Wema Sepetu Vyiti maalum 2015 -2020... Kwanza kakosea neno Viti maana sio Vyiti... Naomba aliopost hio artwork aitoe kwa heshima na taadhima... Pale zitakapokuwa tayari za kwangu basi nadhani mtaanza kuiona kupitia ukurasa wangu ambao ni huu hapa... Ile picha kwanza ni picha ya zamani sana na pale ambapo wameweka rangi ya Green palikuwa Royal Blue... Watanzania muda utakapofika basi naamini nitatoa posters zenye kueleweka na sio hizi zinazosambazwa... Ahsanteni sana...
Wema Sepetu on Instagram
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment