Thursday, June 25, 2015

Wema Sepetu,Nimeamua kwa dhati kuwatumikia wananchi wa Singida na nchi yangu kwa ujumla endapo nitachaguliwa na chama changu.

0
wema sepetuUnamfuatilia mbunge mtarajiwa wa Singida Wema Sepetu ,huu ni ujumbe wake kwa wote wanaofuatilia harakati zake za kuwa kiongozi,
” Uongozi ni utumishi. Naamini kama kijana nina uwezo wa kutumikia vijana wenzangu, mama zangu na nchi yangu kwa ujumla. Hili jukumu langu na letu sote.
Nimeamua kwa dhati kuwatumikia wananchi wa Singida na nchi yangu kwa ujumla endapo nitachaguliwa na chama changu. ”
Inaendelea hapa
 Ili nifanikiwe katika hili nahitaji mchango wenu wa mawazo, hali na mali. Najua kila mmoja ana mchango wake katika kulifanikisha hili.
Naomba nitumie nafasi hii kuwaombeni wote michango yenu bila kujali itikadi, jinsia, umri au kigezo chochote. Mchango wako wowote utatusogeza karibu kufikia lengo letu.
Tafadhali kwa anayependa kuchangia anaweza kutuma mchango kupitia namba +255655106538 ambayo imesajiliwa kwa Jina la Ahmed Hashim Ngahemela… Asanteni sana… Please Repost kama itakugusa… ”
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment