List ya wanawake wenye mvuto zaidi kwenye tasnia ya bongo movie iliyotolewa na mtandao wa bongo movie ndio hii. Namba moja imechukuliwa na mwigizaje asiyeweka mambo yake wazi Welu Sengo.
- Anaitwa Welu Sengo2. Yobnesh Yusuph Aka Batuli3. Tatu imechukuliwa na Wema Sepetu4.Elizabeth Michael aka Lulu5. Irene UwoyaUnamtazamo gani juu ya hii list iliyotolewa na mtandao wa Bongo Movie ?