Tuesday, May 26, 2015

Picha,Luten Karama alivyomvalisha mpenzi wake ‘Bella’ pete ya uchumba.

0
Msanii wa rap Tanzania Luten Karama [Gangwe Mob]  jumamosi ya May 23 2015 amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake  ambaye ni msanii wa bongo fleva Bella. Kitendo hicho kimafanyika Kigamboni pale Club Kakala. Hongera kwa wapenzi hawa.20150525042724201505250427262015052504272520150525042724-520150525042724-420150525042724-220150525042724-1
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment