Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao.
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote navihitaji maana nikipata mapenzi tu bila pesa nitaishia kukusaliti wewe je unaonaje??”- Shamsa aliuliza.