Monday, September 15, 2014

Jux Akana Tetesi Kuwa Wimbo Wake Mpya Amemuimbia Vanessa Mdee Ambae Inasemekana ni Wapenzi

0
 
Mwanamuziki wa Bongo Flava Jux Amezikana Tetesi kuwa Wimbo wake Mpya 'Sisikii' amemuimbia Vanessa Mdee ambae inasemekana kwa sasa ni Wapenzi ,
Jux Ameambia Udaku Special kuwa Nyimbo zake zote alizowahi kuzitoa sio maalum kwa ajili ya mtu bali amezitunga tu na hazihusiani na Maisha yake,
Ikumbukwe pia wimbo Nitasubiri kulikuwa na Tetesi kuwa Amemuandikia Jack Cliff ambae yupo Jela Huko Makau China.

Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment