Friday, June 20, 2014

Picha Za Lupita Nyong’o Akionesha Uzuri Wake Kwenye Jarida La Vogue, Amtaja Mpenzi Wake

0
Kukaa juu ya jarida la Vogue linaoangaiwa na watu wengi duniani kama jarida kubwa na maarufu zaidi ni sehemu ya mafanikio mengine yatisaLupita amepata nafasi ya kukava jarida la Vogue linalotoka July na ndani amezungumzia mengi ikiwa ni pamoja na kukiri kuwa ana-date na rapper mwenye asili ya Solamalia, K’Naan
Hizi ni picha alizopiga kwa ajili ya jarida hilo:LUPITA mbiliLupita nneLupita tatusitaLupita mrembo wa Kenya, Lupita Nyong’o.
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment