Kabla majibu sahihi yenye uthibitisho hayajapatiikana, hivi karibuni Dayna Nyange alionekana tayari ameshamvuta Nando kwake na mapicha kibao yanayoashiria hivyo yaliwekwa kwenye Instagram.
Wiki iliyopita kwa nyakati tofauti waliulizwa kuhusu uhusiano wao na Nando.
Lulu:
Sometimes watu wanaongea vitu wasivyovijua, lakini nashukuru Mungu imeshakuwa open na imejulikana nani anaemdate (Dayna). Kiukweli am just a fan of Nando, after Big Brother ofcourse nilishawahi kukutana…unajua tunakutana sehemu za starehe and staff mara kadhaa. I am just his fan, hakuna mahusiano yoyote yaliyowahi kuendelea mimi kati yetu au yanaendelea kati yetu. Mimi nina mahusiano, nina mpenzi tofauti na Nando. That’s all.
Dayna Nyange:
Jamani Nando ni rafiki yangu, hakuna kitu serious, he’s just a friend tu basi.Sijui nisemeje, ni watu ambao tumefahamiana si kwa muda mrefu sana lakini tumeshibana so imekuwa hivyo tumekuwa karibu mara kadhaa. Haipiti muda mrefu bila kuonana kwa hiyo mara nyingi tunakuwa wote. Ninamkampani kwenye issue zake na yeye ananikampani pia mimi, ni watu ambao tumekuwa karibu sana kwa kweli.”