Benki ya Nmb imekabidhi msaada wa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya
milion 5 akipokea msaada huo Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala
Dkt. Kariamel Wandi ameishukuru Nmb,misaada hii imewasilishwa na Meneja
wa NMB kanda ya Dar es salam Ndg,Salie Mlay.
Nmb imekabidhi vifaa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali ya
Mwananyamala mbele ya Meneja wa Nmb Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa.