Quick Rocka aka The Switcher ,Rapper aliyeanza Na The Rockas na baadae kuja kufanya kazi kama solo artist chini ya lebel ya Mj Records alipotoa single ya Bullet ft Q Jay ambayo ndio ilimpa umaarufu zaidi Tanzania amefungua studio yake. Jina la studio hio ni Switcher Records