Saturday, July 13, 2013

Good news kwa watu wangu wa Simba kuhusu usajili wa huyu

0
.
.
Simba sports Club ya Dar es Salaam imefanikiwa kumsajili mfungaji bora wa michuano ya Kagame Cup 2013 Hamis Tambwe kutokea Vital O ya Burundi kwa kumpa mkataba wa miaka miwili July 12 2013 kuanza kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa mujibu wa 
.
Tambwe mbele ya mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba.
via to shaffihdauda.com
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment