Saturday, July 11, 2015

Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete

0
Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama KikweteNapata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu
Vicent Kigosi “Ray” on instagram
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment