Mwimbanji wa bongo fleva na muigizaji wa bongo Movie Hemed PHD ametubariki na video yake mpya iliyofanyika mikoa tofauti ambayo ni Dar es salaam ,Morogoro, Arusha kwenye maeneo ya ziwa Duluti Tengeru na Manyara. Video inaitwa Imebaki Story na imetayarishwa na Msafiri Shabani.