Wasanii wa kike wa bongo fleva na bongo movie wameungana pamoja kurekodi wimbo wa kutokomeza na kukemea vitendo vya mauaji ya Albino vinavyoendelea Tanzania. Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye utengenezwaji wa video ya wimbo huu.
from
http://sammisago.com/ent/simamanami/