Tuesday, September 16, 2014

Said Fella Azungumzia Tetesi Za Bibi Cheka Kuacha Muziki

0

Manager wa Mkubwa na wanae Said Fella amezungumzia taarifa zilizosamba kuwa msanii wake Bibi Cheka ameacha muziki. Said Fella amesema taarifa hizi sio za kweli kabisa na kwamba kaka Bibi Atataka kuacha muziki basi yeye kama manager wake ndiye atatoa taarifa hizo.

Fella ameongezea kuwa Bibi Cheka amekuwa akikutana na changamoto nyingi kama kusemwa vibaya na watu wa karibu yake kuwa anafanya muziki na watoto na kukosolewa kuhusu mavazi yake [Jeans] anayovaa kwenye jukwa.

Bibi Cheka anakuja na wimbo mpya umefanywa na Producer Shirko.

Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment