Saturday, July 12, 2014

Picha, Kuhusu Pete Anayovaa Penny Inayoaminika Kuwa Ni Ya Uchumba.

0
Mtangazaji maarufu wa radio na Tv Tanzania Vj Penny ameonekana na pete kwenye kidole cha mkono wake wa kushoto inayoaminika kuwa ni pete ya uchumba. Kwenye picha tofauti za Penny za zaidi ya mwezi mmoja ameonekana na pete hii kwenye kidole.pp 2pp 3pp
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment