Producer Pancho Latino alifanya kazi kwa mara kwanza kama producer kwenye studio za Dhahabu records ya Dully Sykies na kutengeneza ngoma kali kama Dar es salaam stand up ya Chidy Benz na nyingine nyingi. Akiongea na millardayo.com,mpishi Pancho kama Chidy Benz alivyomuita kwenye mistari ya Dar es salaam stand up alisema
,”Dully kwenye muziki ni baba yangu, kama mtoto anavyoanza kukua nyumbani. Basi na mimi nikua kwenye muziki kwenye studio ya Dully Dhahabu records. Aliweza kuniamini na kunipa nafasi kwenye studio yake na nikafanya kazi na wasanii wengi wakubwa. Pale ndiyo nilipopitia hadi kufika hapa nilipofika leo. Heshima yake ni kubwa sana na niliitaji kuweka kumbukumbu kwa hilo, so tatoo ni njia nzuri sana ”