IKIWA ni siku ya kwanza ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, picha za Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM, Edward Lowassa akiwa amevaa mavazi ya Kiislam ya joho na hagali zimezua gumzo kubwa kwenye jamii wengi wakitaka kujua kama Waziri Mkuu Mstaafu huyo amebadili imani au la
GUMZO LENYEWE
VIA TO http://www.globalpublishers.info