Thursday, June 25, 2015

Wolper: Hakulaliki Nipo Tuu Natafakari Kitu Kinaitwa Kifo

0
Wolper: Hakulaliki Nipo Tuu Natafakari Kitu Kinaitwa KifoNimelala lakini hakulaliki nipo tuu natafakari kitu kinaitwa kifo,  watu wa dini wanasema usilie bali uombe kwa Mungu apunguziwe adhabu ukilia unamuumiza sijui unamzidishia adhabu sasa mtu unaumia ufanyaje?
Jamani dah kifo bwana acheni tuu Mungu aitwe Mungu lakini pia silaumu ila naamini Mungu kafanya hivi ili pia tusijusahau natumkumbuke kuwa yeye yupo sasa ndugu zangu mliogombana mlioachana kimapenzi embu mtafute mwenzio msemezane tuu ata kwa salamu mkikutana ili akifa uweze kwenda kumtilia mauwa au kumuaga.
Niwazo tuu nimetoa nanimeona ni share na nyinyi followers wangu nawapenda sana nawatakia usiku mwena mliopo kwenye starehe muendeshe magari taratibu mrudipo majumbani mwenu namsilewe sana …Bad mood wallah nalia pekee yangu Mungu nipe nguvu. ndugu zangu,marafk vipenzi,jamaa wote mliotutangulia Mungu awapunguzie adhabu one love
Wolperstylish on instagram
Kuna ujumbe mzito sana hapa.
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment