Kwa mujibu wa linah ,amesema kuwa tamko hilokwa sehemu linahusiana na tuhuma za kulalamika kuibiwa bwana, kitu ambacho kinaendelea akiwa haoni sababu ya kuendelea kukaa kimya zaidi na kuumia roho.
Linah amesema kuwa kwa sasa anajipanga kuaandaa waraka huo na siku yoyote kuanzia sasa mambo kutoka moyoni mwa staa huyo yatakuwa hadharani.
Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmi mpenzi wake mpya kutoka nchini Nigeria “ Nampenda sana mpenzi wangu nitaamua kumuweka wazi ili mashabiki wangu watanbue uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwa sana nampenda hii sio project ni kitu ambacho ni kweli nimechoka na masimango ya Watanzania’.
Tanuru la Filamu