Nafasi ya pili ikachukuliwa na Namie Haule nafasi ya tatu ikachukuliwa na Mariam Omary ambapo ukitazama hapa chini ndio nimekuwekea pichaz mbalimbali kutoka kwenye tukio hili ambalo Young D na Jux walikua mabalozi wa bongofleva.








kwa picha nyingi click