Monday, March 2, 2015

Marehemu Kapteni KOMBA ameagwa leo viwanja vya KARIMJEE

0
MMGL1169Leo February 02 2015 katika viwanja vya Karimjee DAR ilikuwa ni shughuli za kuuaga mwili wa Marehemu Kapteni John Komba na baadaye ukasafirishwa kwenda Ruvuma ambako yatafanyika mazishi.
Watu mbalimbali wameshiriki katika tulio hilo, hapa kuna picha kutoka Karimjee.
RIP Kapteni KOMBA.MMGL0723unnamed (72)Rais Jakaya Kikwete na  Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John KombaMMGL0532IMG_7519MMGL0543MMGL0749MMGL0954

kwa picha nyingi zaidi click down
http://millardayo.com/ripkomba-0203/
Author Image

About tzfleva
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design

No comments:

Post a Comment