Usiku wa Feb 27 kulifanya fashion show iliyoandaliwa na mbunifu wa mavazi , Doreen Mashika ambapo onesho hilo lilifanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye uzinduzi huo wa mavazi.



v
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh Lazaro Nyalandu akichukua tukio nzima.