Wasanii Nuh Mziwanda na mpenzi wake Shilole ambao weekend iliyopita
walifanya show yao pamoja maisha club wametumia instagram kujaribu
kuanya kinachofanywa na mastaa tofauti duniani kupata attention ya watu.
Picha ya Nuh na Shilole wakiwa kwenye pozi la mahaba na Shilole
akionekana nila nguo kifuani.