Kwa mashabiki wa Wema Sepetu sasa mkae tayari kwa kuipokea filamu yake
mpya iitwayo MADAME (our own crazy boss lady) ambayo kesho inatarajia
kutoka yaani Alhamisi ambapo humo ndani wapo Mastaa wengine kama
Deogratus Shija,Simon J Mwapagata,Maulidy Ally na Sudy Ally.